MUUZAJI WA DUKANI( Wigs&Extensions)
ZULPHA IDDY
Ubungo, Dar es Salaam
1. Kupokea na kuhudumia wateja wanaofika dukani, na kufunga mauzo 2. Kuuza bidhaa kupitia Instagram, TikTok na WhatsApp Business 3. Kupiga picha na video za bidhaa dukani na kuziposti mara kwa mara 4. Kujibu haraka maswali ya wateja kwenye DM, comments na WhatsApp 5. Kufuatilia wateja na kutafuta wateja wapya 6. Kutunza duka likiwa safi na bidhaa zimepangwa vizuri 7. Kufikia malengo ya mauzo
TSh 300,000 / month