GigNipeDili reviewed
MUUZAJI WA DUKANI( Wigs&Extensions)
Retail & Shop Work · Shop attendant
Payment
TSh 300,000 / month
Location
Ubungo
Dar es Salaam, Dar es Salaam
Posted
5 Nov 2026
Open opportunity
About this Dili
1. Kupokea na kuhudumia wateja wanaofika dukani, na kufunga mauzo 2. Kuuza bidhaa kupitia Instagram, TikTok na WhatsApp Business 3. Kupiga picha na video za bidhaa dukani na kuziposti mara kwa mara 4. Kujibu haraka maswali ya wateja kwenye DM, comments na WhatsApp 5. Kufuatilia wateja na kutafuta wateja wapya 6. Kutunza duka likiwa safi na bidhaa zimepangwa vizuri 7. Kufikia malengo ya mauzo
What the employer needs
- Uwezo mkubwa wa kuuza na kushawishi wateja Mchangamfu mbunifu na mwenye kujiamini Awe na uwezo wa kutumia Instagram Tiktok na WhatsApp kibiashara Mchapakazi
Skills and task tags
RecurringCustomer carePoint of saleStock handling
Apply safely through NipeDili
Never pay to apply. Confirm the work, schedule, location and payment in writing before starting. Current payments happen outside NipeDili and are not processed or verified by NipeDili.