GigDili closed

Usafi na Vibarua wa Event – Kawe Beach (Wanaume 4)

Costa HenryView poster and all Dilis

Home & Cleaning · House cleaning

Payment

TSh 40,000 / shift

Negotiable

Location

Kawe

Dar es Salaam, Dar es Salaam

Posted

31 Oct 2026

Previous opportunity

About this Dili

Tunatafuta wanaume 4 kwa kazi ya usafi na vibarua kwenye event katika ukumbi wa Kawe Beach. Kazi za wanaume ni pamoja na kuweka mambo sawa kusaidia kuhamisha vitu,kuweka mambo yote sawa katika eneo la event na maeneo ya jumla, kubeba na kupanga vifaa, kusaidia kuhamisha stage inapohitajika, na usafi wa ukumbi baada ya event.

What the employer needs

  • Kufika kwa wakati na kujituma Mwaminifu na mwenye heshima Uwezo wa kubeba vitu vizito Kufanya kazi siku zote mbili (6 & 7 Nov)

Skills and task tags

On-sitePhysical workHome service

Apply safely through NipeDili

Never pay to apply. Confirm the work, schedule, location and payment in writing before starting. Current payments happen outside NipeDili and are not processed or verified by NipeDili.