GigDili closed
Usafi na Vibarua wa Event – Kawe Beach (Wanaume 4)
Home & Cleaning · House cleaning
Payment
TSh 40,000 / shift
Negotiable
Location
Kawe
Dar es Salaam, Dar es Salaam
Posted
31 Oct 2026
Previous opportunity
About this Dili
Tunatafuta wanaume 4 kwa kazi ya usafi na vibarua kwenye event katika ukumbi wa Kawe Beach. Kazi za wanaume ni pamoja na kuweka mambo sawa kusaidia kuhamisha vitu,kuweka mambo yote sawa katika eneo la event na maeneo ya jumla, kubeba na kupanga vifaa, kusaidia kuhamisha stage inapohitajika, na usafi wa ukumbi baada ya event.
What the employer needs
- Kufika kwa wakati na kujituma Mwaminifu na mwenye heshima Uwezo wa kubeba vitu vizito Kufanya kazi siku zote mbili (6 & 7 Nov)
Skills and task tags
On-sitePhysical workHome service
Apply safely through NipeDili
Never pay to apply. Confirm the work, schedule, location and payment in writing before starting. Current payments happen outside NipeDili and are not processed or verified by NipeDili.