GigDili closed
Wasafishaji wa Event/Pre-Event Cleaners Tarehe 6 na 7 November {Wanawake 6}
Home & Cleaning · House cleaning
Payment
TSh 40,000 / shift
Negotiable
Location
Kawe
Dar es Salaam, Dar es Salaam
Posted
31 Oct 2026
Previous opportunity
About this Dili
Tunatafuta wanawake 6 kwa kazi ya usafi kwenye event katika ukumbi wa Kawe Beach. Kazi inahusisha usafi wa washrooms wakati wa event, kuweka mazingira sawa na usafi wa ukumbi baada ya event. Tarehe 6 na 7 ya mwezi November
What the employer needs
- Kufika kwa wakati na kujituma Mwaminifu na mwenye heshima Uwezo wa kufanya kazi hadi event iishe Kufanya kazi siku zote mbili (6 & 7 Nov)
Skills and task tags
On-sitePhysical workHome service
Apply safely through NipeDili
Never pay to apply. Confirm the work, schedule, location and payment in writing before starting. Current payments happen outside NipeDili and are not processed or verified by NipeDili.